Spika wa Bunge Mhe.Anna Makinda akimkaribisha Makamu Mwenyekiti  ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki wa Bunge la Kenya Mhe. Chris Nakulelu kabla ya kufanya nao mazungumzo katika ukumbi wa mkutano wa Spika.Mhe.Nakululu alikuwa kiongozi wa msafara huo.
Spika wa Bunge Mhe.Anna Makinda akifurahi jambo na Makamu Mwenyekiti  ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki wa Bunge la Kenya Mhe. Chris Nakulelu wakati wa mazungumzo yao katika ukumbi wa mkutano wa Spika.
Spika wa Bunge Mhe. Anna Makinda akiwa katika picha ya pamoja na Kamati ya Bunge la Kenya inayoshuhulikia Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki mara baada ya kukutana nao katika Ukumbi wa Mkutano wa Spika leo alasiri.Wapili kulia ni Mwenyekiti wa Bunge la Tanzania Mhe.Azan Zungu na wakwanza kulia ni katibu wa kamati hiyo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...