Wachezaji Bao nguli hapa nchini wakioneshana ubingwa
katika Tamasha la Kumuenzi aliekuwa Mlezi wa Mchezo huo Hayati Rashidi Mfaume Kawawa.
Rais wa Chama cha Mchezo wa Bao mchini Bw Mandei Likwepa
akionesha moja ya barua kwa waandishi wa habari hawapo pichani iliyo andika na
aliekuwa Mlezi wa Mchezo huo Hayati
Rashidi Mfaume Kawawa enzi za uhai wake.
Mfanya biashara maarufu nchini Bw Mohamed Sharifu akiongea
jambo mbele ya wanahabari, wapenzi na wachezaji wa mchezo wa Bao walioudhuria
Tamasha hilo.
Wajukuu
wa Mzee Kawawa kutoka kushoto ni Mariamu
Msemo na wamwisho kulia ni Adam Chacha wakichuana vikali katika mchezo wa Bao
walio ucheza katika Tamasha la kumuenzi
Hayati Babu yao Mzee Kawawa.
Mjukuu
wa Mzee Kawawa Bi Dora Abdala akichuana vikali na mmoja kati ya chezaji nguli
wa mchezo huo katika Tamasha la kumuenzi
Hayati Babu yao Mzee Kawawa.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...