Taswira mbalimbali za Utengenezwaji wa Video Mpya ya Yamoto Band "Nitakupwelepweta" sehemu mbalimbali jijini Dar es salaam. Vijana hawa ambao wako juu hivi sasa katika tasnia ya muziki nchini Tanzania na nchi jirani, sio tu wanafanya vyema katika kutawala anga bali pia wameleta aina mpya ya staili ya muziki ambao uko mbali na Bongo Fleva na umepokelewa kwa shangwe na wapenzi wa muziki. Wanaongozwa na Mkubwa Fela
Mambo ya location
Vijana wakiwajibika
Adam Juma aki-shoot scene ya mgahawani
Ngoma inaanza hapo hapo mgahawani
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...