Home
Unlabelled
Wema Sepetu Wema Sepetu ''IN MY SHOES'' S02EP10
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Wema ongea Lugha yako bwana, unapochanganya na kiingereza haileti maana, kumbuka watu wengi wanaangalia show zako na wengine hawajui lugha hiyo ya kigeni. Ona wenzetu wa huku nje kama anaongea kiingereza ni kiingereza tu hachanganyi na kijerumani, wala kiitaliano.
ReplyDeleteushamba wa lugha huo!
ReplyDeleteni ngumu sana wkati mwingine kama ushazoea kuongea kingereza ukaongea kiswahili moja kwa moja...Kuchanganya lazima kutatokea tuu...Ni sawa na yule aliyezoea home kuongea kilugha chake huwa wakati mwingie akiongea itatokea kuchanganya tuu...
ReplyDeleteAutomatically inatokea sio kusudio lake...
Mazoea yanatabu jamani muacheni.. Hata wakenya nao huchanganya tena wale ndio balaaa zaidi