Mwili wa baba wa msanii wa muziki wa kizazi kipya
Dully Sykes,Marehemu Ebby Sykes ukiswaliwa nyumbani kwa kaka wa marehemu maeneo ya Kawe jijini Dar
leo mchana.Marehemu Ebby Sykes amezikwa jioni hii kwenye makabiri ya Kisutu.
Mwili wa Marehemu Ebby Sykes ukipandishwa kwenye gari kwa safari ya kwenda kwenye mazishi,makaburi ya Kisutu jijini Dar jioni hii.
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Dully Sykes akiwa amepanda
gari lililobeba mwili wa Marehemu baba yake kwa safari ya kwenda kupumzishwa kwenye makaburi ya Kisutu jijini Dar leo
Baadhi ya wasanii pamoja na ndugu na jamaa waliofika kwenye msiba wa marehemu Ebby Sykse.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
Mwenyezi Mungu amleze pema marehemu Ebby Sykesy (RIP) naye alukuwa mmoja wapo wa wanamuziki enzi zile jiji Dar akiwa na wenziwe akina Micky Jega Jega,
ReplyDeleteMwenyezi amlaze mahala pema peponi.
Amin.
wadau
Ngoma Africa Band aka FFU
Oldenburg,Germany