Kocha Msaidizi wa Timu ya Coastal Union,Jamhuri
Kiwelu "Julio" (wa pili kulia waliosimama) akisisitiza jambo kwa wachezaji wa timu hiyo wakati wa mazoezi mara baada ya
kuwasilia mkoani Tanga kuifundisha timu hiyo akisaidiana na Kocha Mkuu
James Nandwa ( wa nne kushoto).wengine pichani ni Mjumbe wa Kamati ya Utendaji Coastal Union,Albert
Peter,Katibu Mkuu Coastal Union,Kassim El Siagi na Meneja wa Coastal
Union Akida Machai.
Kocha Msaidizi wa Coastal Union ,Jamhuri
Kiwelu "Julio"akizungumza na viongozi wa Coastal Union mara baada ya
kuwasili mazoezini jana ,Picha kwa Hisani ya Coastal Union.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...