Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mhe Paul Makonda baada ya kuwasili katika Shule ya Sekondari ya Mtakuja huko Kunduchi jijini Dar e salaam leo tayari kwa kukagua ujenzi wa maabara na pia kupokea na kugawa vitabu vya sayansi vilivyochapishwa na Watu wa Marekani.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikagua maabara katika Shule ya Sekondari ya Mtakuja huko Kunduchi jijini Dar e salaam ambako pia alipokea na kugawa vitabu vya sayansi vilivyochapishwa na Watu wa Marekani. Wa kwanza kulia ni Dkt Shukuru Kawambwa, Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, akifuatiwa na mke wa Rais Mama Salma Kikwete
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Mama Salma kikwete, Balozi wa Marekani nchini Mhe Mark Childress, na viongozi wengine wakiangalia jinsi somonla sayansi likifundishwa katika darasa la Kidatu cha pili Shule ya Sekondari ya Mtakuja huko Kunduchi jijini Dar e salaam ambako pia alipokea na kugawa vitabu vya sayansi vilivyochapishwa na Watu wa Marekani
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Mama Salma kikwete, Balozi wa Marekani nchini Mhe Mark Childress, Dkt Shukuru Kawambwa, Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi,na viongozi wengine wakisalimia wanafunzi katika darasa la Kidatu cha pili Shule ya Sekondari ya Mtakuja huko Kunduchi jijini Dar e salaam ambako pia alipokea na kugawa vitabu vya sayansi vilivyochapishwa na Watu wa Marekani
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Balozi wa Marekani nchini Mhe Mark Childress, wakiongea na mkandarasi wa maabara ya Shule ya Sekondari ya Mtakuja huko Kunduchi jijini Dar e salaam ambako pia alipokea na kugawa vitabu vya sayansi vilivyotolewa na Watu wa Marekani
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Mama Salma Kikwete na Balozi wa Marekani nchini Mhe Mark Childress wakiwa na baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Mtakuja huko Kunduchi jijini Dar e salaam wakiwa na vitabu walivyogawiwa vya sayansi vilivyochapishwa na Watu wa Marekani.
Kwa picha zaidi BOFYA HAPA
Kwa picha zaidi BOFYA HAPA
I am lost, these Developed Countries pumping aid in some of these countries - I do not understand it. Ukiwa huku kuna wamarekani hata mlo mmoja kwa siku ni matatizo and to see a doctor is like winning lotto. Umasikini uko nje nje.
ReplyDeleteKidatu ndio kitugani hapo shuleni?
ReplyDeleteTutumie vitabu hivi ili tuwe na wanasayansi watakaoweza kutusaidia.
ReplyDeleteStudents can also download free apps for science subjects (math, physics, chemistry, and biology) on Google Play.
ReplyDeletehttps://play.google.com/store/apps/details?id=com.myexample.Math_Form_pro&hl=en
See more from the same developer for other subjects.