Wapo Watanzania ambao ndoto zao ni kumiliki shule. Ninapoongelea shule simaanishi lazima  yawe yale mashule makubwa. Hata shule za awali ambazo zinaanzishwa na wajasiriamali wadogo mitaani nazo ni shule kwa  maana hii katika makala haya.
Nyaraka kuu inayoongoza  taratibu za usajili wa shule binafsi huitwa fomu namba RS8. Huu ndio mwongozo mkuu wa usajili. 
Kuna mambo ya msingi na ya kisheria ambayo  mtu hutakiwa kujiandaa nayo iwapo  anataka kuanzisha shule binafsi.
Mambo haya huwa yanakamilishwa kwa wepesi na bila usumbufu  ikiwa yanapitia kwa wanasheria lakini pia mtu anaweza kufanya mwenyewe isipokuwa  hata   akifanya mwenyewe kuna document  za lazima ambazo lazima zisainiwe na kuthibitishwa na mwanasheria.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Hizi makala za sheria ni makala muhimu sana sana...asante michuzi na team yako.

    maoni...napendekeza kuwepo na urahisi wa kuzisearch zile zilizopita yaani kama direct link fulani ya kuzisoma zote..mfano ile sehemu ya kumbumbuku badala ya kuweka kimwezi mwezi pia unaweza ongeza kimakala au aina ya habari..bila shaka kiswahili changu kimeeleweka.

    Niwashukuru tena

    Mdao wa blog

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...