Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki Joshua Nassar akitia saini katika kitabu cha wageni katika ofisi ya kata ya Siela Sing'isi alipotembelea katika kijiji hicho cha Sing'isi. |
Mbunge Nassari akiwaongoza wananchi wa vijiji vya Sing'isi na Madiira wakitembelea shamaba la Madiira kutizama mipaka ya eneo la Hekari 92 lililotolewa kwao. |
Na Dixon Busagaga wa Globu
ya Jamii
Kanda ya Kaskazini.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...