Kutakuwa na muziki na kucheza, hivyo tunawaalika Wanaharakati, waandishi, wanafalsafa, watu mashuhuri, wanawake na wanaume kuja kujumuika nasi na kuamka na kuinuka pamoja kukemea ukatili dhidi ya wanawake. Kupata maelekezo zaidi, tembelea Facebook Page kwenye hii link - https://www.facebook.com/events/411029942393387/
Home
Unlabelled
One Billion Rising - TUAMKE DAR
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...