Uwanja wa Uhuru Maarufu kama "Shamba la Bibi" ukiwa kushoto mwa Uwanja Mkuu wa Taifa ambao bado haujapewa jina rasmi unavyoonekana leo baada ya kuwekwa paa upande wa "Urusi".
Haijajulikana bado lini utaanza kutumika na kuupumzisha Uwanja wa Taifa ambao ndilo kimbilio la shughuli karibu zote za michezo na za jamii.
Ivi kumbe haujapewa jina bado...ahh majina kibao tu kama jomokenyata, mwai kibaki, mobutuseseko,obama,mayweather...tutumie mtindo uleule tu wa barabara zetu na majina ya ng'ambo.....
ReplyDeleteMimi napendekeza Kikwete stadium manna jamaa na michezo hakuna mfano
ReplyDeleteWamtafute sponsor, mtu binafsi au kampuni, ambapo watatumia jina lake na atozwe kila mwaka na hizo pesa zitumike katika kusaidia kukitunza kiwanja. Wanasiasa hawa hawazisaidii hata shule walikosomea! Hakuna vya bure.
ReplyDeleteIfike wakati Tanzania tuachane na dhana ya kutumia majina ya viongozi kwenye kila kitu.Tanzania tuna rasilimali unique ambazo tunaweza kuzipromote kwa kutumia majina yake katika vitu km hivi.ie.Kilimanjaro, serengeti, Tanzanite nk.
ReplyDeleteTusubiri wachina watatoa jina
ReplyDelete