Mfanyabiashara wa Soko la Jipya la Kawe, Grace Pascal Kalengela (wa
pili kulia), ambaye aliibuka mshindi wa Droo ya tatu ya promosheni ya
Airtel Yatosha Zaidi akishangiliwa na wafanyabiashara wenzake sokoni
hapo, kabla ya kukabidhiwa zawadi ya gari jipya aina ya Toyota
IST lililosajiliwa kwa namba T 783 DCZ katika hafla iliyofanyika eneo la Kawe jijini Dar es Salaam jana.
IST lililosajiliwa kwa namba T 783 DCZ katika hafla iliyofanyika eneo la Kawe jijini Dar es Salaam jana.
Meneja
Biashara wa Airtel Kanda ya Dar es Salaam, Fredrick Mwakitwange
(kushoto), akikabidhi mfano wa ufunguo wa gari kwa mshindi wa droo ya
tatu ya promosheni ya Airtel Yatosha Zaidi, Grace Pascal Kalengela
wakati wa kumkabidhi gari jipya aina ya Toyota IST lililosajiliwa kwa
namba T 783 DCZ katika hafla iliyofanyika katika eneo la Kawe jijini Dar
es Salaam jana. Wa (pili kushoto) ni mume wa mshindi huyo, Daudi
Mayunga na (kulia) ni Meneja Uhusiano wa Airtel, Jackson Mmbando.
Mfanyabiashara wa Soko la Jipya la Kawe, Grace Pascal Kalengela (wa
pili kulia), ambaye aliibuka mshindi wa Droo ya tatu ya promosheni ya
Airtel Yatosha Zaidi akiwa mwenye furaha, kabla ya kukabidhiwa zawadi ya
gari jipya aina ya Toyota IST lililosajiliwa kwa namba T 783
DCZ katika hafla iliyofanyika eneo la Kawe jijini Dar es Salaam jana. Kulia ni Meneja Biashara wa Airtel Kanda ya Dar es Salaam, Fredrick Mwakitwange.
DCZ katika hafla iliyofanyika eneo la Kawe jijini Dar es Salaam jana. Kulia ni Meneja Biashara wa Airtel Kanda ya Dar es Salaam, Fredrick Mwakitwange.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...