Waziri
wa Nishati na Madini George Simbachawene
akifungua mkutano kwa ajili ya kujadili nishati endelevu nchini kwa wote ( Tanzania Sustainable Energy
for All) ulioshirikisha sekta binfasi, wataamu
kutoka Wizara ya Nishati na Madini pamoja na wadau wa nishati nchini. Mkutano huo uliofanyika katika hoteli ya Protea jijini Dar es Salaam
lengo lake lilikuwa ni kubadilishana uzoefu kwa ajili ya kuboresha sekta ya umeme nchini.
Meneja Hifadhi kutoka Shirika la WWF Nchini Dk.
Amani Ngusaru akitoa hotuba ya
kumkaribisha Waziri wa Nishati na Madini
George Simbachawene (hayupo pichani)
Sehemu
ya wadau wa mkutano kwa ajili ya kujadili nishati endelevu nchini kwa wote ( Tanzania Sustainable Energy
for All) ulioshirikisha sekta binfasi, wataamu
kutoka Wizara ya Nishati na Madini pamoja na wadau wa nishati nchini
wakifuatilia kwa makini hotuba iliyokuwa inatolewa na Waziri wa Nishati na Madini George
Simbachawene ( hayupo pichani)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...