Naibu Waziri wa Madini wa Wizara ya
Nishati na Madini,Charle’s Kitwanga
akizungumza leo jijini Dar es Salaam na
wafanyabiashara wa Ujerumani wakitaka kujua fursa za uwekezaji katika sekta ya
Nishati na Madini.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati
na Madini,Ndosi Mwihava akitoa maelezo kwa wafanyabiashara wa Ujerumani
wakitaka kujua mazingira ya uwekezaji katika sekta ya nishati na Madini
walipotembelea wizara hiyo jijini Dar es Salaam.
Kiongozi wa Wafanyabiashara wa Ujerumani Mathias Maching akizungumza leo jijini Dar es Salaam juu ya msafara wao katika kujua mazingira ya uwekezaji katika sekta ya Nishati na Madini.
Hizi kazi Prof. Mhongo alikuwa na uwezo nazo sana ila wabongo kutokana na ignorance tumemchafua bila sababu na kushangilia alivyotoka.
ReplyDeleteWatanzania hatutapata maendeleo kama tusipo wakubali wenzetu wenye uwezo wa kufanya kazi na tukaendekeza majungu