Home
Unlabelled
ABIRIA WANAPOAMUA KUPANDA DALADALA KUPITIA MLANGO WA DEREVA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Sirudi ng'o....yaani tangu nasoma Azania 1994 abiria walikua wakiingia kupitia aidha dirishani au mlango wa dereva nasikitika kuona miaka ishirini imepita lakini hakuna mabadiriko.
ReplyDeleteSisi hatutaki mtu asiyeweza kutamka MABADILIKO bora ukae huko huko!!
ReplyDeletePole sana mawazo yakutokurudi yanaisadiaje nchi yako? njoo ulete mawazo nchi ibadilike ila sikuombei ukrehemeka mwili uooo TZ wapi na wapi na je wewe nasikitika kuona miaka ishirini imepita lakini bado hujui pakuweka r wala l lol!"hakuna mabadiriko"
ReplyDeleteMhh... wanatusemaga wa MBAGALA kumbe kote ngoma droo
ReplyDeletemdau hapo juu uko sahihi kabisa tunafanya mabadiliko sawa ila speed yetu ni ndogo mnooo.
ReplyDeletemradi wa mabasi yaendayo kasi foleni sasa ipo mradi unapoishia yaani kuanzia temboni hivi ni kweli hatewezi kuplan hata kwa miaka ishirini?
nilikuwa kenya wanaenda vizuri nasikia hata Ethiopia speed yao nzuri pia.
Baki huko huko wala usipate shida ya kuja huku,tuachie tuliozoea.
ReplyDeleteUlaya na Marekani ni kama daladala vile, maaana hakujai, inajaa ndoo ya maji.
ReplyDeleteTz itajengwa na watanzania. Usiporudi ni nani atatatua tatizo? Atakae endelea kutaabika ni mjoba wako na wapwa zako,amautawabeba pia? Never say Never.
ReplyDeleteMkataa kwao mtumwa. Njoo tuijenge nchi yetu changa yenye miaka 53 ya uhuru.
ReplyDelete