Vijana wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, al maarufu kama RED BRIGADE, wakila kiapo cha utii, mbele ya Mwenyekiti wa taifa wa chama hicho, Freeman Mbowe, jijini Mwanza siku ya Jumamosi Februari 28, 2015. Kiapo hicho kinafuatia kukamilika kwa mafunzo ya kiulinzi na usalama kwa vijana hao.
 Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa CHADEMA, Wilfred Rwakatare (kulia), akisoma taarifa ya mafunzo ya vijana wa chama hicho 'Red Brigade' huku mwenyekiti wa taifa wa chama hicho, Freeman Mbowe (kushoto) akisikiliza.
Vijana hao wakila kiapo mbele ya Mwenyekiti wa Chadema na Mbunge wa Hai Freeman Mbowe (kulia).Picha: K Vis blog

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Hovyo!!!!

    ReplyDelete
  2. Mie sina matatizo na hawa vijana na majina yao ya brigade etc, Sipendi ule uaskari militarism.Jeshi is a fighting instrument, we must move away from this mentality of fight, fight.

    ReplyDelete
  3. this is not good, au ni mimi tu nasikia harufu hapa.

    ReplyDelete
  4. Kunyata anyate kinyonga, akinyata kicheche mwizi wa kuku.....hili ni dongo kwa wote mliotoa maoni hapo juu...

    ReplyDelete
  5. Hawa nivsawa na boko haram. Damn it. Tutskuwa kama nigeria!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...