Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. The mdudu, ujumbe huo tosha kabisa kwakina dada zangu wote wa kitanzania msikimbilie na kubomoa maumbile yenu hadimu. ..na muache kuvaa miwigi nataka kuona wote mnakua kama flaviana matata mwangalieni mwenzenu pendeza sn sn kabisa mtoto wa kiafrica. ..hodi hodi morogoro nikishinda ubunge moro mjini kinachofuata ni kupiga marufuku wanawake wote kwenye jimbo langu kuweka mawigi kichwani.

    ReplyDelete
  2. Swadakta! maneno msumari na ujumbe maridhawa kabisa, kadhalika mdundo mzuri. Hongereni sana kazi nzuri.

    Ila mdau wa mwanzo kabisa hapo juu kanifurahisha kuhusu 'Sera' yake dhidi ya mawigi, nadhani kama utataka kila ismu ya mwanamke aonekane natural, khususan hapo utakapokuja kushinda katika jimbo lako, basi nadhani watakunyima kura zao kungali mapema ili usije kuwaingilia ulibwende wao, Maana siku hizi takriban wanawake wengi wameweka 'makawa' vichwani ni kumi kwa mmoja...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...