Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) akifafanua jambo wakati kamati yake ilipokutana na Kamati ya PAC kutoka Bunge la Sudani Kusini katika Ofisi Ndogo za Bunge leo. Kamati ya PAC kutoka Bunge la Sudani lipo nchini kwa ziara ya kikazi ikiwa ni pamoja na kubadilishana uzoefu na wenyeji wao. Kushoto kwa Mhe. Zitto ni Mwenyekiti wa Kamati ya PAC ya Bunge la Sudani Kusini Bi. Mary Bicensio Wani.
Wajumbe wa Kamati ya PAC kutoka Bunge la Sudani wakishiriki kikao hicho na wenyeji wao PAC ya Bunge la Tanzania.
Mhe. Zitto akiongoza kikao baina ya Kamati ya PAC ya Bunge la Tanzania na PAC kutoka Bunge la Sudani Kusini.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...