Katibu Mkuu Utumishi Bw.George D. Yambesi (kushoto) akikabidhi ofisi kwa Naibu Katibu Mkuu Utumishi Bw. Hab Mkwizu baada ya kustaafu Utumishi wa Umma.Makabidhiano hayo yamefanyika ofisini kwake.
Katibu Mkuu -Utumishi Bw. George D. Yambesi (katikati) akipongezwa na Mkurugenzi wa Idara ya Utawala na Rasilimali Watu Bw. Aloyce Msigwa, (kushoto) ni Naibu Katibu Mkuu-Utumishi Bw. Hab Mkwizu. Bw. Yambesi amestaafu Utumishi wa Umma.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Tunamshukuru Mungu. Ni neema kuweza kustaafu utumishi wa Umma.
    Mungu akuwezeshe katika maisha yako mapya ya Ustaafu.

    ReplyDelete
  2. Msistaafu tu bali muandike vitabu kuhusu taaluma zenu.

    ReplyDelete
  3. Mr. George Yambesi ni mmoja wa viongozi wa Kada ya Juu ya Utumishi wa Umma. Aliye mwadilifu, busara, hekima, huruma na kiongozi mahili na mkali pale inapokuwa lazima kufanya hivyo bila kuacha vidonda au majeraha kwa wale anaowaongoza.

    Ilikuwa faraja kufanya kazi na wewe kwa kweli umetufundisha mengi na ni mfano mzuri wa kuigwa kwa hulka na tabia ya kiongozi mwenye hadhi kama yako.

    Mwenyezi Mungu akuongoze na akupe afya njema, furaha na maisha marefu katika ustaafu.

    You served well, and you left a legacy behind. Well done.

    ReplyDelete
  4. Maisha yako na utumishi wako uliotukuka ni Testimony. Mungu akutunze na kukupa afya njema ili uendelee kuwa mshauri wa masuala ya Kiutumishi ndani na nje ya nchi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...