Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Magesa Mulongo akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa aliekuwa Kocha wa timu ya Taifa (Taifa Stars), marehemu Sylvester Balunzi Mashishigulu ‘Marsh’, leo kwenye uwanja wa Shule ya msingi Mirongo,Jijini Mwanza.Marehemu Marsh amezikwa kwenye makaburi ya Igoma nje kidogo ya Jiji la Mwanza.Picha zote na G Sengo Blog.
Familia ya Marehemu Sylvester Balunzi Mashishigulu ‘Marsh’, ikiwa kwenye huzuni kubwa baada ya kuondokewa na mpendwa wao,wakati wa ibada maalum ya kumuada ilitofanyika kwenye uwanja wa Shule ya msingi Mirongo,Jijini Mwanza.
Meya wa Jiji la Mwanza , Stanslaus Mabula alisema,jiji la Mwanza akielezea wasifu wa marehemu Marsh, ikimbukwe kuwa Mstahiki ndiye mlezi wa kituo cha soka cha Marsh Academy.
Mchezaji wa zamani wa Yanga na Timu ya Taifa (Taifa Stars), Edibily Jonas Lunyamila (kushoto) akielezea namna alivyomfahamu marehemu Marsh,wakati wa kuaga mwili wake leo kwenye  kwenye uwanja wa Shule ya msingi Mirongo,Jijini Mwanza.kulia ni mchezaji wa zamani wa timu ya Pamba, Yanga na Taifa Stars, Fumo Felician akiwa na majonzi.
Huzuni kubwa ilitawaka kwa timu ya vijana wa U17 toka kituo cha Marsh Academy.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...