Na  Bashir  Yakub.

Wako  watu  ambao  wamekuwa  wakipata  matatizo mbalimbali  ya  ardhi  lakini  wasijue  la  kufanya.  


Kati  ya  hao  wapo  ambao  migogoro  imeanzia  mikononi  mwao   na  wengine   wamerithi  migogoro  hiyo kutoka  kwa  wazazi  au  ndugu  zao. 

Yote  kwa  yote    iwe  mgogoro  umeanzia  mikononi  mwako  au  umeurithi  bado mgogoro  ni  mgogoro  na  lazima  utafute jambo  la   kufanya  ili  kuumaliza. Nitakachoeleza  hapa ni  namna  gani  waweza  kumaliza  mgogoro  wa  ardhi  kwa kutumia  vyombo  tulivyonavyo  pamoja  na  sheria  zetu. 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...