Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya nchi za Nje,Mh. Edward Lowassa akisalimiana na Balozi wa Uingereza nchini Tanzania,Mh. Dianna Melrose aliyefika ofisini kwake leo kwa mazungumzo.
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya nchi za Nje,Mh. Edward Lowassa akizungumza na Balozi wa Uingereza nchini Tanzania,Mh. Dianna Melrose ofisini kwake,jijini Dar es salaam leo.
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya nchi za Nje,Mh. Edward Lowassa akiagana na Balozi wa Uingereza nchini Tanzania,Mh. Dianna Melrose mara baada ya kumaliza mazungumzo yao.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Anaheshimika SANA duniani kutokana na utendaji wake makini. Ni kiongozi wa mfano kwa watu walio wengi ingawa wachache hasa wavivu wanamchukia SANA.

    Ukisikiliza hadithi wanazotoa dhidi yake utagundua kuwa wanaomchukia SANA wanaogopa kuwa upo wakati hasa mwaka 2008 walimsingizia mabaya mengi. Wanadhani wataulizwa ushahidi wa waliyokuwa wanadanganya mchana kweupe!

    ReplyDelete
  2. Mdau 20151968@gmail.com hacha uzushi, hayo mawazo ni ya kwako tu na sio kwa watanzania wote na wewe ni muongo saaaana kwa yote uliyoyasema....

    Endelea na ndoto zako...

    ReplyDelete
  3. Huyu jamaa angejijua hasingethubutu ata chembe ya kugombania Urais, Watu watakula Pesa zake lakini kamwe hapewi Urais...

    Atakae bisha na abishe sisi wananchi wa Tanzania hatumtaki kabisa 2015 na chama changu CCM mkimpitisha tu basi sitomchagua ata kidogo.

    Ni mawazo yangu tu na natumia demokrasia kujieleza yaliyo moyoni mwangu na yalimo kwa Watanzania walio wengi.

    ReplyDelete
  4. Semeni msemavyo ila kama jina "LOWASSA " sitaliona kwenye karatasi ya Kura . ntaongeza jina lake then ntampigia Kura maana sioni mwingine . Bora Kura yangu iyaribike tu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...