Mkuu wa mkoa wa Tabora  Bw.Ludovick Mwananzila (kulia) akikabidhi msaada wa shuka kwa Mganga mkuu wa hospitali ya rufaa ya mkoa wa Tabora Kitete Dr.Gunini Kamba,katikati ni Katibu tawala mkoa wa Tabora Bi.Kudra Mwinyimvua.
Mkuu wa mkoa wa Tabora akihutubia wakati wa Uzinduzi wa huduma ya Madaktari bingwa katika hospitali ya rufaa ya mkoa wa Tabora Kitete,huduma ambayo inaratibiwa na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya NHIF ikiwa ni hatua ya kuwahamasisha wananchi kujiunga na Mfuko huo.

Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mfuko wa Taifa wa  Bima ya Afya NHIF Bw.Charles Kajege akitoa maelezo kuhusu kuanzishwa kwa huduma hiyo ya Madaktari bingwa katika mikoa mbalimbali nchini ambayo imelenga kusaidia kutoa huduma za matibabu kwa watanzania kulingana na mahitaji ya maeneo husika. 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...