Wachezaji wa Jambo Leo mpira wa miguu (wenye jezi rangi nyekundu) wakitoka uwanjani mara baada ya kufungwa goli la 3 na kususia mchezo huo kwa madai uwanja umeharibika kwa kujaa maji. Mchezo huo ulivunjika katika dakika 69. Wachezaji wa Jambo Leo mpira wa miguu (wenye jezi rangi nyekundu) wakitoka uwanjani mara baada ya kufungwa goli la 3 na kususia mchezo huo kwa madai uwanja umeharibika kwa kujaa maji. Mchezo huo ulivunjika katika dakika 69.Wachezaji wa timu ya NSSF mpira wa miguu wakitoka uwanjani huku wakipongezana  mara baada ya mwamuzi kumaliza pambano lao na timu ya Jambo Leo. NSSF walipewa ushindi wa magoli 3-0. Baada ya Timu ya Jambo Leo kukimbia uwanjani baada ya kufungwa goli la 3 katika dakika 69 ikisingizia uwanja mbaya. Wachezaji wa timu ya NSSF mpira wa miguu wakitoka uwanjani huku wakipongezana mara baada ya mwamuzi kumaliza pambano lao na timu ya Jambo Leo. NSSF walipewa ushindi wa magoli 3-0. Baada ya Timu ya Jambo Leo kukimbia uwanjani baada ya kufungwa goli la 3 katika dakika 69 ikisingizia uwanja mbaya.Wachezaji wa timu ya NSSF mpira wa miguu wakitoka uwanjani mara baada ya mwamuzi kumaliza pambano lao na Jambo Leo na kupewa ushindi wa magoli 3-0. Timu ya Jambo Leo ilikimbia uwanjani baada ya kufungwa goli la 3 katika dakika 69 ikisingigia uwanja mbaya. Wachezaji wa timu ya NSSF mpira wa miguu wakitoka uwanjani mara baada ya mwamuzi kumaliza pambano lao na Jambo Leo na kupewa ushindi wa magoli 3-0. Timu ya Jambo Leo ilikimbia uwanjani baada ya kufungwa goli la 3 katika dakika 69 ikisingigia uwanja mbaya.
Kwa picha zaidi na habari kamili BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...