Tanzania Zalendo wanakuleta Mhadhara wa Jinsi ya KUANZISHA, KUENDESHA na KUDUMU katika biashara.
UKUMBI ni Alliance Francaise shuka kituo cha RED CROSS kuelekea Posta.
Siku ya JUMAMOSI tarehe 21/03/2015.
Muda Ni saa Nane 8 mchana Mpaka saa Kumi Jioni.
Utajifunza jinsi ya kuanzisha ,kuendesha na kusimamia biashara kutoka kwa mtaalam wa masuala ya biashara Mhadhiri wa kikuu cha Dar es salaam Dr Muhsin Masoud wa shule ya Biashara.
Mafunzo haya ni BURE
Kwa mawasiliano zaidi piga
0787 66 99 68 au 0714 756 902
WOTE MNA KARIBISHWA!
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...