Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Misitu na Nyuki nchini Tanzania,Gladness
Mkamba akizungumza mara baada ya kutia saini makubaliano kati ya
Tanzania na Kenya kupiga vita biashara haramu ya mbao pamoja na mazao
ya misitu inayofanyika kupitia mipaka ya nchi hizo katika mkutano
uliofanyika jijini Arusha na Kuandaliwa na Shirika la kimataifa
la kulinda wanyama na viumbe hai World Wildlife Foundation (WWF) ambao
ni waandaaji na washirika wa makubaliano hayo pamoja na shirika la
TRAFFIC .Picha picha zote na Mahmoud Ahmad,Arusha.
Viongozi kutoka serikali ya Tanzania na Kenya pamoja na Mashirika
binafsi wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kutia saini
makubaliano kati ya Tanzania na Kenya kupiga vita biashara haramu ya
mbao pamoja na mazao ya misitu inayofanyika kupitia mipaka ya nchi
hizo katika mkutano uliofanyika jijini Arusha na Kuandaliwa na
Shirika la kimataifa la kulinda wanyama na viumbe hai World Wildlife
Foundation (WWF) ambao ni waandaaji na washirika wa makubaliano hayo
pamoja na shirika la TRAFFIC.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mazingira na Maliasili nchini Kenya Richard
Lusiambe (wakwanza kulia) akiongozana na Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya
Misitu na Nyuki nchini Tanzania Gladness Mkamba mara baada ya kutia
saini makubaliano ya Tanzania na Kenya kupiga vita biashara haramu ya
mbao pamoja na mazao ya misitu inayofanyika kupitia mipaka ya nchi
hizo katika mkutano uliofanyika jijini Arusha na Kuandaliwa na
Shirika la kimataifa la kulinda wanyama na viumbe hai World Wildlife
Foundation (WWF) ambao ni waandaaji na washirika wa makubaliano hayo
pamoja na shirika la TRAFFIC .
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...