Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni Tanga Cement Plc, Reinhardt Swart (kushoto) akimpa zawadi mhandisi mwanamke kijana katika kampuni hiyo, Irene Lema katika hafla iliyoandaliwa na wafanyakazi wanawake wa Tanga Cement kusheherekea siku ya wanawake duniani mjini Tanga.
Kaimu Ofisa Fedha Mkuu wa Kampuni ya Saruji Tanga, Unguu Sulay (kulia) akimpa zawadi mfanyakazi mwanamke hodari na mwenye mfano wa kuigwa wa kampuni hiyo, Rosemary Kashaga Juma katika hafla iliyoandaliwa na wafanyakazi wanawake wa Tanga Cement kusheherekea siku ya wanawake duniani mjini Tanga.
Meneja Kiwanda wa Kampuni ya Saruji Tanga, Mhandisi Ben Lema (kulia) akimpa zawadi mfanyakazi mwanamke aliyefanyakazi katika kampuni hiyo kwa kipindi kirefu, Mwanahawa Juma katika hafla iliyoandaliwa na
wafanyakazi wanawake hao kusheherekea siku ya wanawake duniani mjini Tanga.
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni Tanga Cement Plc, Reinhardt Swart (kushoto) akiwa zawadi baadhi ya wasambazaji wa saruji wanawake walioalikwa katika hafla hiyo kwa kutambua mchango wao katika maendeleo ya kampuni. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...