Kaimu Naibu Mwanasheria Mkuu Wa Serikali, Sarah Mwaipopo akisisitiza jambo wakati akifunga Mafunzo Elekezi ya awali kwa Watumishi wapya wa Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali wapatao 222.
Kaimu Naibu Mwanasheria Mkuu Wa Serikali, Sarah Mwaipopo akihutubia Watumishi wa Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali (Hawapo Pichani) Wakati wa Kufunga Mafunzo ya awali kwa Watumishi wapya. Wengine pichani kuanzia kushoto ni Mkurugenzi Msaidizi Divisheni ya Mashtaka, Bi Mary Lyimo na Mkuruegenzi wa Mashtaka, Biswalo Kachele Mganga.
Sehemu ya watumishi wapya wa Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali wakifutilia kwa makini Hotuba ya Kaimu Naibu Mwanasheria Mkuu Wa Serikali (hayupo pichani) wakati wa kufunga Mafunzo Elekezi kwa Watumishi wapya.
Mtumishi Mpya wa Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Wakili wa Serikali, Batilda Stephen akitoa neno la shukran kwa niaba ya Watumishi wenzake mbele ya Kaimu Naibu Mwanasheria Mkuu Wa Serikali (hayupo pichani) Wakati wa kufunga Mafunzo Elekezi ya Awali kwa Watumishi wapya wa Ofisi Hiyo. (Picha Na. Abuu M. Kimario)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...