Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Vangimembe Lukuvi akikata utepe kuashiria ufunguzi rasmi wa nyumba na kuingia ndani kukagua nyumba hizo.
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Vangimembe Lukuvi akipewa na Mkurugenzi Mkuu wa NHC maelezo ya uendelezaji wa eneo la Usa-river lililonunuliwa na NHC kwa ajili ya kujenga Jiji la kisasa hapo jana.
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Vangimembe Lukuvi akiondoka eneo la Meru Residential arpatments alipomaliza kukagua nyumba za makazi zilizojengwa na NHC na kuuzia wananchi hapo jana.
Nchi bado inahitaji nyumba bora ili kuinua maisha ya watanzania wote, watanzania wenye ujuzi mainjinia wachora ramani nao wajiunge kwenye vikundi watafute mitaji ili wajenge nyumba imara za kisasa na kuuza ili wainue maisha ya jamii yote. Kunea njia nyingi za kutunisha mifuko ya ujenzi ikiwa pia na kuuza nyumba zikiwa kwenye michoro kutumia pesa za awali na kuzijenga.
ReplyDelete