Mshambuliaji Machachari wa Timu ya Yanga,Mrisho Khalfan Ngassa akiichambua ngome ngombe ya Timu ya Fc Platinum ya nchini Zimbabwe katika mchezo wa Mashindano ya Kombe la Shirikisho barani Afrika,uliochezwa leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.Yanya imeshinda Bao 5 - 1.
Mchezaji wa Yanga,Simon Msuva akiangalia namna ya kuwatoka mabeki wa Timu ya Fc Platinum ya nchini Zimbabwe katika mchezo wa Mashindano ya Kombe la Shirikisho barani Afrika,uliochezwa leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.Yanya imeshinda Bao 5 - 1.
Amis Tanbwe wa Yanga na Gift Bello wa FC Platinum wakiwania mpira wa juu wakati wa mchezo wa Mashindano ya Kombe la Shirikisho barani Afrika,uliochezwa leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.
Salum Telela wa Yanga akiipachikia timu yake bao la kuongoza wakati wa mchezo wa Mashindano ya Kombe la Shirikisho barani Afrika,uliochezwa leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.
Furaha ya Ushindi: Kiungo mchezeshaji wa timu ya Yanga,Haroun Niyonzima akiongoza mashabiki wa Timu ya Yanga kushangia goli lao dhidi ya Fc Platinum ya nchini Zimbabwe katika mchezo wa Mashindano ya Kombe la shirikisho,uliochezwa leo kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam leo. Yanya imeshinda Bao 5 - 1.

BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. TWILA KAMBANGWAMarch 16, 2015

    Raha sana, hatushindi na hiki kitu kidogo eti simba, cc tupo kimataifa zaidi

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...