
Balozi Gamaha anachukua nafasi ya Balozi Dkt. Mwasi Nzagi ambaye
amestaafu kwa mujibu wa sheria.
Kabla ya uteuzi huo Balozi Gamaha
alikuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa
Kimataifa. Uteuzi huo unaanza mara moja.
Imetolewa na:
Wizara ya Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Kimataifa,
Dar es Salaam
27 Aprili 2015
Burundi kimewaka anakwenda kufanya nini....avute subira kwanza...
ReplyDeleteHongera Balozi Ghamaha, kwa shughuli za kidiplomasia na kibalozi huu ndiyo muda anatakiwa kuwepo kituoni. Na kuishauri vizuri serikali kuhusu mahusiano baina ya nchi hizi mbili.
ReplyDeleteKwani ubalozi kuna kustaafu kwa mujibu wa sheria?
ReplyDelete