Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Prof. Elisante Ole
Gabriel (kushoto) akizungumza na viongozi wa Chama cha Wanafunzi wa Kiswahili Afrika
Mashariki Tawi la Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (CHAWAKAMA, hawapo pichani) walipofanya
ziara katika Ofisi za Wizara hiyo jana jijini Dar es Salaam. Katikati ni Mkurugenzi Idara ya
Utamaduni Prof. Herman Mwansoko, na kulia ni Mkurugenzi Msaidizi Lugha Bibi. Shani Kitogo.
Baadhi ya viongozi wa Chama cha Wanafunzi wa Kiswahili Afrika Mashariki Tawi la Chuo
Kikuu cha Dar es Salaam (CHAWAKAMA) wakisikiliza kwa makini walipofanya ziara katika ofisi
za Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo jana jijini Dar es Salaam.
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Prof. Elisante Ole
Gabriel (wanne kulia) katika picha ya pamoja na viongozi wa Chama cha Wanafunzi wa
Kiswahili Afrika Mashariki Tawi la Chuo Kikuu cha Dar es Salaam walipofanya ziara katika Ofisi
za Wizara hiyo jana jijini Dar es Salaam. Wapili kulia ni Mkurugenzi Idara ya Utamaduni Prof.
Herman Mwansoko, wa kwanza kulia ni Mkurugenzi Msaidizi Lugha Bibi. Shani Kitogo na
wakwanza kushoto ni Mkurugenzi Msaidizi Sanaa Bibi. Leah Kihimbi.
Picha na Genofeva Matemu - Maelezo
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...