Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. HONGERA SANA KALAPINA WEWE NI MFANO WA KUIGWA KWA VIJANA WENGI TANZANIA - kazi unaiweza maana unaingia sehemu hatari ambazo mtangazaji au mtu mwingine asingeweza

    ReplyDelete
  2. Safi sana waandaaji wote wa hiki kipindi ! Ninauhakika kama 90% ya mitandao yote ya Bongo wakilusha hizi habari kama anavyo fanya anko michuzi , Watanzania tutajitambua vizuri kama tunajanga la Taifa ! Ushauri wangu kwako Kalapi , wakati una muhoji yule Muathilika wa madawa-teja , jalibu kumuuliza ni tukio gani baya ambalo limeisha wahikukukuta ambalo unalijutia kutokanana utumiaji wako wa haya madawa ! Atajieleza kama alikoswa kuchomwa moto ! Au ali kwenda jela ! Ili utupatie picha halisi ya matatizo ya kuwammteja ! Huo ni ushauri wangu tu ! Zaidi yahapo nimekukubali mwana! Waibukie mle Muslim ndani na pale American chips na Mtaa wa Togo !

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...