Kaimu Mkurugenzi wa habari na Mahusiano Jeshi la kujenga Taifa (JKT) Kaptaini Javan Bwai akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) katika uzinduzi wa baadhi ya miradi ya Jeshi hilo. Kushoto ni  Afisa  Mteule daraja la kwanza, Injinia Fredrick Kaaya, Msemaji wa  wizara ya ulinzi na usalama Jeshi la kujenga Taifa (JKT) Meja Josephat Musira na wa mwisho ni Afisa wa Idara ya habari MAELEZO, Fatma Salum.
Mhandisi  wa miradi Jeshi la kujenga Taifa (JKT) ,Coplo Lazaro Masanja (kushoto) akitoa maelekezo kwa Msemaji wa  wizara ya ulinzi na usalama Jeshi la kujenga Taifa (JKT), Meja Josephat Musira, mara baada ya uzunduzi 
wa baadhi ya miradi ya Jeshi hilo jijini Dar es Salaam leo.
Baadhi ya wanahabari waliohudhuria katika uzinduzi wa baadhi ya majengo yaliyojengwa na Jeshi la kujenga Taifa (JKT). Msasani Tower ni moja ya majengo ambayo yamejengwa na  Jeshi la kujenga Taifa (JKT). (Picha Avila Kakingo, Globu ya Jamii.)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...