Naibu waziri Anne Kilango Malecela akiongea na wafanyakazi wa Mamlaka ya Elimu Tanzania(TEA) Jumatatu. Wa pili kutoka kushoto ni  Kaimu Mkurugenzi wa TEA Bw. Joel Laurent, na watatu kutoka kushoto ni Bi, Paulina Mkoma kutoka wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi. Mhe. Anna Kilango Malecela ametembelea Mamlaka ya Elimu Tanzania katika ziara yake ya kutembelea Taasisi zilizopo chini ya Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...