Barabara ya Mtaa wa Msimbazi, Kariakoo jijini Dar es Salaam, imefungwa kwa muda  ili kupisha ukarabati wa Barabara hiyo,ulioanza rasmi leo.
ukarabati ushaanza kushika kasi katika Barabara ya Mtaa wa Msimbazi, Kariakoo.
kibao cha kuonyesha kufungwa kwa Mtaa huo kuanzia Barabara ya Morogoro mpaka Mtaa wa Mafia.hivyo watumiaji wa njia hii mnapaswa kutafuta mbadala wake.
mambo yameiva Msimbazi. 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Why put notification in English? Does this mean that all car owners knows only English? How hard is it to put it in Kiswahili with English translation?

    ReplyDelete
  2. That's true...how difficult is Tanzania guys to motivate our national language???? 98% passing this roads are Tanzanian, please let's be proud with our fantastic Kiswahili - language!

    ReplyDelete
  3. Suaheli or English? Well everybody is stopping also on a red light! ;-) Be happy if the signs are tomorrow still there and nobody has used them. as roof sheet! With the Construction in Dar be happy that it is not written in Mandarin! ;-)

    ReplyDelete
  4. Nyie mliochangia hapo juu wote naona kama vichwa vyenu ni Sawa na vichwa panzi yani mnalalamika kuandikwa tangazo kwa lugha ya kingereza hali yakuwa wenyewe mnatumia lugha hiyohiyo ya kingereza kuandika maoni yenu hapa.....ama kweli nyani haoni makalio yake

    ReplyDelete
  5. Sawa kabisa, nami pia nimewashangaa wanalaumu nini na wao wanafanya nini.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...