Mkutugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma (PSPF), Adam Mayingu akifafanua jambo wakati akizungumza na Wadau mbali mbali wa Sekta ya Habari wakati wa Semina ya siku moja ya kuelezea shunguli mbali mbali za Mfuko huo kwa Wadau hao, iliyofanyika Machi 31, 2015 kwenye Makao Makuu ya PSPF, Golden Jubilee Tower, jijini Dar es salaam.
 Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Mfuko wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma (PSPF), Neema Muro akitoa maelezo ya Mfuko huo kwa Wadau wa Sekta ya Habari walihudhulia Semina ya siku moja, iliyofanyika Machi 31, 2015 kwenye ukumbi wa Mikutano wa Makao Makuu ya PSPF, Golden Jubilee Tower, jijini Dar es salaam.
 Meneja wa Mpango wa Hiari wa Mfuko wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma (PSPF), Mwanjaa Sembe akitoa maelezo juu ya Mpango wa kujiunga na Mfuko wa PSPF kwa hiari, ambapo wadau wote waliofika kwenye semina hiyo waliweza kuijiunga na mpango huo.
Mtunza Kumbukumbu za Wanachama wa Mfuko wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma (PSPF), Linick Nkinda akionyesha moja ya kumbukumbu wadau wa habari waliotembelea Mfuko huo kujifunza maswala mbali mbali juu ya Mfuko huo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...