![]() |
Wanafunzi wa chuo cha Kilimanjaro Institute of
Technology and Management wakiwasikiliza walimu wa kujitolea kutoka Restless
Development(walioko mbele yao) kuhusu maarifa ya kupata kazi
|
Wanafunzi wa chuo cha Kilimanjaro Institute of Technology and Management wakifundishwa na walimu wa kujitolea kutoka Restless Development Gemma Bunn (wa kwanza kushoto )na Jonathan Aquilina ( wa pili kulia ) kuhusu maarifa ya kupata kazi. Kwa habari kamili BOFYA HAPA
.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...