Annur Community Centre Leicester, UK, Inasikitikita kutangaza kifo cha Mume wa Dada Ashura Juma, Bwana Twalib Durrace kilichotokea Jumatatu 13/04/15 Peterborough City Hospital.
Mazishi yatafanya leo Jumanne 14/04/15 hapo Peterborough central Mosque saa Tisa Mchana. Kwa taarifa zaidi tafadhali wasiliana na Abdul Dau 07792104495.
Innaa Lillaahi wa Innaa Ilayhi Rajioon.
Khamis Sahal,
Mdhamini Jumuia ya Annoor
170a Belgrave Gate, Leicester LE1 3XL.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...