Waziri wa Uchukuzi Mhe. Samuel Sitta (aliyesimama) akifungua Mkutano wa wafanyakazi wa Wizara hiyo mapema jana jijini Dar es Salaam, kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara ya hiyo Dkt. Shaaban Mwinjaka na kulia ni Katibu wa Baraza la Wafanyakazi wa Wizara hiyo Bwana Hassan Mabula.
 Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi Dkt. Shaaban Mwinjaka akimshukuru Waziri wa Uchukuzi Mhe. Samuel Sitta mara baada ya kufungua rasmi mkutano wa wafanyakazi wa wizara hiyo na taasisi zilizo chini yaka.
 Waziri wa Uchukuzi Mhe. Samuel Sitta akiteta jambo na Katibu Mkuu wa Wizara ya hiyo Dkt. Shaaban Mwinjaka mapema jana jijini Dar es Salaam wakati wa Mkutano wa wafanyakazi wa Wizara hiyo.
 Baadhi ya watumishi wa Wizara na Taasisi zilizo chini ya Wizara ya Uchukuzi wakiwa katika mkutano wa wafanyakazi uliofanyika jana jijini Dar es Salaam.
Waziri wa uchukuzi Mh,Samuel Sitta akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa Wizara ya Uchukuzi na Taasisi zilizo chini ya wizara hiyo mapema jana jijini Dar es Salaam wakati wa mkutano wa wafanyakazi. Picha na Eliphace Marwa – MAELEZO

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...