SHEHA wa
shehia ya Kipangani Ali Said Hamad akifungua mkutano wa kuelimisha katiba
inayopendekezwa, ulioandaliwa na Kituo cha Hudma za Sheria Zanzibar ZLSC, tawi
la Pemba, kulia ni Hakimu wa Mahakama ya Ardhi mkoa kusini Pemba Salim Hassan
Bakar na kushoto ni Mratibu wa ZLSC Fatma Khamis Hemed
MWANASHERIA wa serikali Albaghir Yakout Juma, akitoa
ufafanuzi wa Katiba inayopendekezwa mbele ya wananchi wa wilaya ya wete Pemba,
mkutano ulioandaliwa na Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar ZLSC tawi la Pemba,
ambao uliofanyika Jamhuri Hall wete Pemba
MMOJA wa
wananchi wa wilaya ya Wete akitaka ufafanuzi wa Ibara ya 97 juu ya ‘Bunge
kumshitaki rais’ kwenye katiba inyopendekezwa, wakati Kituo cha Huduma za
Sheria Zanzibar ZLSC walipofika kutoa elimu ya katiba hiyo kwa wananchi gazi ya
wilaya. Picha na Haji Nassor, Pemba
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...