Balozi
wa PSPF, Bi. Flaviana Matata akitoa elimu kwa wanafunzi wa vyuo mbalimbali vya
elimu ya juu (hawapo pichani), katika semina ya siku moja juu ya Fursa zinazopatikana kwa wanachama wa Mfuko wa PSPF, iliyofanyika jana jijini Mwanza
Afisa
Mfawidhi Ofisi ya PSPF Mwanza, Bw. Salim Salim, akisalimiana na Balozi wa PSPF,
Bi. Flaviana Matata, kabla ya kuanza semina ya siku moja kwa wanafunzi wa vyuo
mbalimbali vya elimu ya juu jijini Mwanza.
Baadhi
ya wanafunzi wakisoma vipeperushi vyenye taarifa kuhusu Mfuko wa PSPF wakati wa
semina juu ya Mfuko huo iliyotolewa na Balozi wa PSPF, Bi. Flaviana Matata hivi
karibuni.

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...