Mgeni rasmi katibu tawala mkoa wa Shinyanga Projestus Rutabanzibwa (watatu kushoto) kwa niaba ya mkuu wa mkoa wa Shinyanga akijiandaa kukata utepe wakati wa hafla la kukabidhi madawati 600.
Wote wakisherekea baada ya kukata utepe.
Baadhi ya madawati 600 yaliokabidhiwa na Tigo pamoja na HMT mkoa wa shinyanga.
Picha ya Pamoja.
Kushoto(Mgeni rasmi katibu tawala mkoa wa Shinyanga Projestus Rutabanzibwa, makamu mwenyekiti wa Hassan Maajar Trust (HMT) Shariff Hassan Maajar, mkurugenzi wa kampuni ya Tigo kanda ya ziwa Ally Maswanya) wakifurahia jambo baada ya kukabidhi madawati hayo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...