![]() |
Wajumbe wakiwa wamesimamaukumbini kumlaki Kikwete alipoingia ukumbini kuendesha kikao hicho leo |
![]() |
Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akishauriana jambo na Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana kabla ya kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM kuanza leo, mjini Dodoma Nkoromo) |
Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akiendelea kuongoza kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM, mjini Dodoma leo, May 24, 2015. Picha zote na Bashir Nkoromo
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...