Mratibu wa marafiki wa Lowassa kanda ya kaskazini ,Noel Nnko akizungumza na waandishi wa habari kabla ya kuanza safari ya kupanda Mlima Kilimanjaro.
Safari ya kupanda Mlima Kilimanjaro ikanza.
Askari wa hifadhi akiwapekua wasaidizi wa watalii kabla ya kuanza safari ya kupanda mlima Kilimanjaro.
Kundi la vijana ambao wanajitaja kama marafiki wa Lowassa wakiwa katika njia ya kuanzia kupanda Mlima Kilimanjaro katika lango la Marangu. Picha zaidi BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...