Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Dr.Florens Turuka akipongezana na Waziri wa Maji Mhe.Jumanne Magembe mara baada ya kupitishwa kwa Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu Mei 16, 2015 katika Viwanja vya Bunge Dodoma.
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Dr.Florens Turuka akisalimiana na Waziri wa Nchi Ofisi Rais Utumishi Mhe.Celina Kombani mara baada ya kuhairishwa kwa kikao cha Tano cha Bunge la Bajeti Mei, 16, 2015.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Uwezeshaji na Uwekezaji Mhandisi Christopgher Chiza akiteta jambo na Mbunge wa Mpendae Mhe. Abdallah Turky nje ya Ukumbi wa Bunge Dodoma.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...