Baadhi ya madawati 270 yaliyonunuliwa na Mbunge wa Jimbo la Temeke kwa Shule za Sekondari zilizopo Jimboni kwake ambapo madawati 100 yalikwisha chukuliwa kupelekea jumla ya madawati 300 yenye jumla ya Sh. Mil 60 
 Mbunge wa Jimbo la  Temeke, Abbas Mtemvu akikabidhi madawati na  Mkuu wa Chuo cha Mafunzo na Ufundi Stadi (Veta) , Samuel Ng'andu, Dar es Salaam jana, baada ya mbunge huyo kuamua kununua madawati 270 kwa ajili ya shule za sekondari zilizopo Jimboni kwake akiongozana na Madiwani wa Jimbo hilo.
 Mbunge Abbas Mtemvu akiongea na Waandishi wa Habari (pichani hawapo) baada ya kununua madawati katika Chuo cha Ufundi Stadi (Veta) na kuwakabidhi Madiwani  wa Jimboni kwake
Diwani Kata ya Keko Frances Mtawa (kushoto) ,  akimshukuru Mkuu wa chuo hicho cha Veta kuwa mwepesi kuwasikiliza  na akatumia nafasi ya kumshukuru Mbunge wake Abbas Mtemvu kwakuwa muwazi na kuwashirikisha madiwani wa jimbo hilo, kulia ni Mkuu wa chuo cha Ufundi Stadi Veta na katikati ni Mbunge wa Jimbo la Temeke Abbas Mtemvu. Picha zote na Khamis Musa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...