Mkuu
wa Mkoa wa Manyara, Dk Joel Bendera (kushoto) akipokea msaada wa mashuka 150 yatakayotumika
jana mjini Babati kwenye hospitali ya rufaa ya mkoa huo kutoka kwa Kaimu Mkurugenzi
mkuu wa mfuko wa Taifa wa bima ya afya (NHIF) Michael Mhando.
Mkurugenzi
mkuu wa mfuko wa Taifa wa bima ya afya (NHIF) Michael Mhando (kulia)
akimkabidhi Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Dk Joel Bendera kifaa tiba cha mama mjamzito
jana mjini Babati ili kitumiwe na wanawake watakaopata huduma ya matibabu
kwenye hospitali ya rufaa ya mkoa huo.
Mkuu
wa Mkoa wa Manyara, Dk Joel Bendera akionyesha dawa zilizotolewa na Mkurugenzi
mkuu wa mfuko wa Taifa wa bima ya afya (NHIF) Michael Mhando jana mjini Babati,
ambapo NHIF ilitoa msaada wa vifaa tiba na dawa zenye thamani ya shilingi
milioni 5.5.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...