Benki ya NMB imepokelewa kwa nguvu na wananchi wa mikoa ya Arusha, Morogoro, Dodoma, Singida, Mtwara na Tabora na kampeni yake ya kuhamasisha watanzania wengi zaidi wasio na akaunti kufungua kupitia NMB bila usumbufu wa kuleta taarifa nyingi zaidi ya kitambulisho.
Huduma hiyo inayoitwa NMB Instant Account imekuwa kipenzi cha watanzania. Huduma hiyo inamuwezesha mtu yoyote anayetaka kufungua akaunti ya NMB kufanya hivyo kwa dakika 10 tu huku akiondoka na kadi ya ATM papo hapo. Pia  mteja anaweza kufuatwa popote alipo na kufunguliwa akaunti hiyo kwa haraka huku akiendelea kupata huduma zingine za kibenki kama NMB mobile – kutuma na kutoa pesa kwa kutumia simu ya mkononi. 
 Fuatilia mikutano ya NMB kwenye maeneo yako kesho – kwa mikoa ya Arusha, Morogoro, Tabora, Dodoma, Singida na Mtwara ujipatie akaunti ya NMB Chap Chap Instant Acount.
 Steven Ndaki Mkazi wa Homboro mkoani Dodoma akifungua akaunti ya Chap Chap Instant Account alipotembelea kwenye gari la kampeni la NMB.
 Glory Mushi wa Homboro Dodoma akipata huduma za kufungua akaunti ya chap chap.
 Ufunguaji wa akaunti za chap chap ukiendelea katika mji wa Homboro - Dodoma


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...