Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete, Makamu Mwenyekiti Zanzibar ambaye pia ni Rais wa Zanzibar Dkt.Ali Mohamed Shein(kushoto), Makamu Mwenyekiti Bara Ndugu Philip Mangula(kulia) na katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana(watatu kushoto) wakati ufunguzi wa Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM kinachofanyika katika ukumbi wa White House Mjini Dodoma.
Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiendesha kikao cha Kamati kuu ya Halmashauri kuu ya CCM mjini Dodoma leo jioni.
Baadhi ya wajumbe wa kamati kuu ya Halmashauri kuu ya CCM wakipia ajenda za kikao hicho leo katika ukumbi wa White House Makao makuu ya CCM mjini Dodoma leo jioni.
Baadhi ya wajumbe wa Kamati kuu ya CCM Stephen Wasirra na Adam Kimbisa, Mh.Jesniter Mhagama na Jerry Slaa, Dkt.Emmanuel Nchimbi na Jenister Mhagama wakijadiliana muda mfupi kabla ya kuanza kwa kikao cha kamti kuu mjini Dodoma leo. (picha na Freddy Maro)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...